Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke leo April 27, 2018 kupitia kwa Mkuu wa TAKUKURU Temeke Pilly Mwakasege ameeleza utekelezaji wa majukumu yake katika kipindi cha mwezi October 2017 hadi March 2018.
Kati ya vitu alivyovigusia ni maeneo yanayoongoza kulalamikiwa kwa rushwa aidha kiasi walichoweza kuokoa kwa kipindi hicho.