Ni Mbunge wa Kawe, Askofu Gwajima ambae leo Agosti 3, 2021 zilisambaa taarifa za kuwa amepata chanjo ya kujikinga na Uviko 19 hii imeibuka baada ya kusambaa kwa cheti kilichoambatana na picha yake pamoja na Scan code. Sasa Askofu huyo amekanusha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kufahamu zaidi bonyeza PLAY kufahamu zaidi.
SIMANZI:MKE WA RAIS WA HAITI, AFUNGUKA ALIVYOSHUHUDIA KIFO CHA MUMEWE “RISASI ZILITAWALA”