Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umeitaka Bodi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuwarudisha bila masharti yoyote viongozi halali wa DARUSO waliosimamishwa masomo kutokana na kutetea haki za wanafunzi, na kuacha kuwa sehemu ya ukandamizaji na uonevu wa wanafunzi.
TRENI YA ABIRIA YA ABIRIA KUTINGA ARUSHA, WAZIRI AGUSIA UJENZI JENGO LA POSTA