Wachezaji wa Tanzania wa mchezo wa Pool Table watakaoliwakilisha Taifa wameondoka Alfajiri ya leo 10/03/2024kuelekea nchini China kushiriki katika mashindano ya Dunia Heyball Masters 2024.
Waliosafiri ni Abdala Hussein, Mussa Mkwega, Melickzedeck Amadeus, Saleh Amini, na Jackson Steven.
Kila lakheri kwa wapambanaji wetu katika mashindano hayo makubwa ambayo mshindi atajinyakulia zaidi ya bilioni. 1.5.