Baada ya kurejea Bongo kutokea nchini India alipokuwa akifanyiwa matibabu, Kijana Tariq Kipemba aliyekuwa amemwagiwa Acid Usoni na kupelekea kutokuona Kwa Macho yote mawili, hatimaye amerudi akiwa na uwezo wa kuona kupitia Jicho Lake moja.
Tariq amekaa na AyoTV na kusimulia mengine ikiwemo yale ya kimatibabu aliyopatiwa huko India, kaongea na kutolea ufafanuzi Maswali yaliyoibuka na kuulizwa baada ya yeye kuzungumza kuhusu kile anachodai ni ukweli wa kilichosababisha yeye kumwagiwa Acid.
Hii hapa ni Simulizi yake na Tayari full Video tumekuwekea YouTube kupitia channel ya #millardayo.