Cindy Hsin-Liu Kao ambaye ni mwanafunzi wa PHD wa MIT Media Lab kwa kushirikiana na Microsoft wamebuni Tattoo ya muda ambayo itamuwezesha mtu kucontrol vifaa kama mifumo ya sauti na simu kwa kushika sehemu ya tattoo hiyo.
Tattoo hizo zinaweza kutuma na kupokea taarifa, kuunganisha wireless na smartphone kupitita NFC ambayo ni aina ya teknolojia inayotumika kwa ajili ya malipo kwa njia ya simu aidha inatumia betri inayoitwa Lithium polymer.
UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
https://www.youtube.com/watch?v=2Owo-HaNKbw
ULIKOSA HII TAARIFA KUTOKA MSIKITINI KUHUSU MZEE YUSUF KUSTAAFU MUZIKI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI