Ni April 6, 2023 ambapo Benki ya CRDB wamemtangaza Mayani Yahaya Hassan kutoka Dodoma ndio mshindi wa ndinga mpya aina ya Toyota Crown kupitia promosheni ya #BenkiNiSimBanking baada ya kuibuka kidedea kwenye droo iliyochezeshwa leo Makao Makuu ya benki yetu.
View this post on Instagram