Leo July 03, 2018 Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP, limesafirisha makontena 18 ya chakula kwenda kwa wakimbizi wa Sudan kusini kupitia njia ya Reli ambayo haikuwa inafanyakazi kwa miaka 10 iliyopita kutoka Bandari ya Dar es salaam hadi Mwanza.
Baada ya kufika Mwanza itatumika meli ya Mv. Umoja hii ni mara ya pili tangu njia hiyo ifunguliwe rasmi, Mwaka huu pale bandari ya Mwanza kusini, Mahamud Mabuyu ndio Mkuu wa Kitengo cha Usafirishaji Mpango wa Chakula Duniani.
RAIS MAGUFULI ‘NIMECHOKA KUTUMA RAMBIRAMBI’