Unapotuma na kupokea barua na vifurushi Yafuatayo yanapendekezwa wakati wa kutuma au
kupokea barua au vifurushi:
1. Weka bayana kwa mtoa huduma maelezo ya vitu vilivyomo ndani ya kifurushi husika.
2. Andika anwani inayoeleweka ya mpokeaji na mtumaji wa barua/kifurushi chako na pale ambapo
postikodi na anwani ya makazi ipo ni vyema kuitumia kwa uhakika zaidi.
3. Iwapo unasafirisha kitu cha thamani, muombe mtoa huduma wako akupe ushauri kuhusu aina ya bima kwa kifurushi hicho na ukiwekee bima.
4. Unapopokea kifurushi, hakikisha kwamba unakifungua mbele ya mtoa huduma na
kuhakiki vilivyomo mbele yake. Kama kuna upungufu, anzisha mchakato wa kulalamika.
WALIOCHOMA MOTO KITUO CHA POLISI, WAKISUBIRIA HUKUMU