Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Imebainika kuwa wateja wa Benki ya Bayport 2000 waliokopa zaidi ya bil 5 wamo kwenye kundi la watumishi hewa pic.twitter.com/f3T3IoPPBT
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI Mashahidi wa pande zote mbili kesi ya kupinga ubunge wa Bulaya wamepunguzwa na kuweka mazingira ya shauri hilo kutolewa mapema pic.twitter.com/x7IKZVDUz6
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI Asasi 11, NGOs nne nchini matatani kwa kuendesha mikakati ya kuhamasisha vitendo vya ngono na ndoa za jinsi moja pic.twitter.com/Fj2pG3FoEE
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI Agizo la waziri mkuu kufanyika uchunguzi kuhusu madawati kutengenezwa kwa watu binafsi badala ya magereza Dom lafanyiwa kazi pic.twitter.com/28PhqbhFx8
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI TCU imeanza awamu ya tatu ya udahili ili kuwapata wanafunzi watakaojiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu pic.twitter.com/ZWda9t48JO
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#NIPASHE Kichanga chaibiwa kituo cha basi kuelekea Mpanda Katavi huku mama aliyevalia dera na kujifunika mtandio akihusishwa na tukio hilo pic.twitter.com/4aLxz9bqhn
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#NIPASHE Mama asimulia alivyovamiwa na 'Black Americans' aeleza walivyotumia dk 15 kupekua kila pembe ya nymba na kutishia kumchinja mwanaye pic.twitter.com/mdAxhmLYNM
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#NIPASHE Wafuasi 22 CUF wapandishwa kizimbani kisutu DSM wakikabiliwa na mashtaka manne, likiwamo la kukutwa na mabomu ya machozi 10 pic.twitter.com/u6WH5EQqsS
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#NIPASHE Waathirika wa tetemeko Bukoba wasema kwa sasa hawahitaji msaada wa biskuti na maji bali wanahitaji kujenga na kukarabati nyumba zao pic.twitter.com/xKqj8szDYT
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#NIPASHE SMZ yafanyia mabadiliko sheria namba 9 ya ZEC ikiwamo muundo wake pamoja na utendaji wake wa kazi kabla ya uchaguzi mkuu 2020 pic.twitter.com/hSZ4SMHPgt
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI Mahakama Iringa imemuachia huru Mwl wa Kiwele Sec baada ya kukosa ushahidi wa kumtia hatiani ktk kesi ya kumtukana mwanafunzi pic.twitter.com/Iu7kBGvFZv
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI Zaidi ya bil 12 zimetumika kununua vifaa vya maabara za shule za sekondari za kata vitakavyowasili nchini mwishoni mwa mwezi ujao pic.twitter.com/5OGurN3I5Q
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#NIPASHE TANESCO K'njaro imesitisha mikataba ya ajira wafanyakazi 10 baada ya uhakiki wa vyeti na kugundulika waliajiriwa bila kuwa na sifa pic.twitter.com/4InhubOeuR
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MWANANCHI RC Shy amesema Serikali haitavumilia mila potofu za kuwapeleka watoto wa kike kwa waganga wa kienyeji ili wapendwe na kuozeshwa pic.twitter.com/cU6DMBuvyW
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MTANZANIA Imebainika Jeshi la polisi halijawalipa mishahara askari wake wapya walioajiriwa June 2016 kwa kipindi cha miezi minne sasa pic.twitter.com/O353VVGHNY
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#MTANZANIA Katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif aziandikia barua benki zote ili kudhibiti ruzuku ya chama isipite kwenye mikono ya Prof. Lipumba pic.twitter.com/SWvpA8hSwJ
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
#HabariLEO Mtoto wa mwaka mmoja Sumbawanga amefariki huku wengine watatu wakiwemo ndugu zake wawili wako mahututi baada ya kula njegere pori pic.twitter.com/A4JVJhtgTA
— millardayo (@millardayo) October 12, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 12 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI