Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu kiungo wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Salum Telela kuhusishwa kuachwa na klabu hiyo, huku mitandao mingine ikiandika kuwa staa huyo kiraka ameachwa, ili kupata ukweli ripota wa millardayo.com ilimtafuta mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro.
“Ni kweli mkataba wa Salum Telela na Yanga umemalizika, hivyo yupo huru kuongea na klbu yoyote nyingine au hata Yanga, ili kuangalia kama kuna uwezekano wa kuongeza ila maamuzi yapo mikoni mwake”
ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF
https://youtu.be/VSM0_i0-DY0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE