Wakati dakika zikiendelea kuhesabiwa ili kuisikia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ikiwasilishwa bungeni nakusogezea hii taarifa ya hali ya uchumi 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa 2016/2017 ya Wizara ya fedha na mipango ilivyowasilisha na Waziri Philip Mpango.
Waziri Mpango ameyataja maeneo makuu manne ambayo amesema…>>>’Mpango umegawanyika katika maeneo makuu manne, kwanza hali ya uchumi wa dunia na mwenendo wa uchumi wa taifa kwa mwaka 2015, pili, utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2015/16‘
‘Tatu ni muhtasari wa mwelekeo wa uchumi kwa mwaka 2016/17 na nne ni maeneo ya Kipaumbele kwa mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2016/17‘
ULIIKOSA HII? WAZIRI MWAKYEMBE HAJAPENDEZWA NA KAULI ZA WAPINZANI NA KAAMUA KUYATOA YA MOYONI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE