Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bariadi na Mhasibu wa Halmashauri ya Hai wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuaandaa nyaraka za malipo hewa ya Tshs Milion 27 kwa wafanyakazi ambao walikuwa wameshafukuzwa kazi.
Mkuu wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro Holle Makuru amesema Melzedeck Humbe ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Hai pamoja na Valentino wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakituhumiwa kwa ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi, pamoja na matumizi ya nyaraka za kughushi kumdanganya mwajiri.
MKUKURUGENZI TAKUKURU AFAFANUA KUHUSU MALALAMIKO YA NASSARI NA LEMA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA