Mwenyekiti wa bunge na mbunge wa Ilala, Mussa Zungu leo September 25 2017 amealikwa kwenye mahafali ya 15 ya kidato cha nne katika shule mfano ya sekondari ya wasichana ya Barbro Johansson na moja ya ishu aliyoizungumzia ni hii ya mimba mashuleni.
Akizungumza wakati wa hotuba yake…….>>>’Hakuna sheria yoyote itakayotungwa na bunge itakayozuia mimba mashuleni, mimba shuleni zitazuiwa na wanafunzi pamoja na wazazi na jamii kwa ujumla, mtoto akiwa mhuni na mzazi wake naye mhuni’
Unaweza kuitazama video hii hapa chini
Ulikosa hii ya JPM? “Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni”