Weekend ya michezo ya kuwania kufuzu kucheza fainali za AFCON 2021 imemalizika kwa kushuhudia timu 23 tayari zikifuzu michuano hiyo, huku kwa sasa ukiwa unasubiriwa uamuzi wa CAF kujua Mchezo wa Sierra Leaone Chidi ya Benin uliyoahirishwa utarudiwa au itachukuliwa maamuzi gani ili kupata timu ya 24.
Mchezo huo uliahirishwa kutokana na Benin kugomea Malibu ya Corona yaliotoka na kuonesha wachezaji wao watano wanamaambukizi ya virusi vya Corona kitu ambacho wanaamini sio kweli na mawazo yao wanaamini ni hujuma za mwenyeji kwani timu zote hizo mbili zina nafasi.
Afrika Mashariki kwa mwaka huu wamepoteza nafasi ya kupata walau timu moja iliyofuzu baada ya mwaka 2019 Tanzania, Kenya, Uganda na Burundi kufuzu fainali hizo, hizo ndio timu 23 zilizofuzu kucheza fainali za AFCON 2021 nchini Cameroon, fainali hizo pitanza kuchezwa January 10 2022 hadi February 6 2022.
TIMU ZILIZOFUZU AFCON 2021
🇩🇿 Algeria 🇧🇫 Burkina Faso 🇨🇲 Cameroon 🇨🇻 Cape Verde 🇰🇲 Comoros 🇪🇬 Egypt 🇬🇶 Equatorial Guinea 🇪🇹 Ethiopia 🇬🇦 Gabon 🇬🇲 Gambia 🇬🇭 Ghana 🇬🇳 Guinea 🇬🇼 Guinea Bissau 🇨🇮 I.Coast 🇲🇼 Malawi 🇲🇱 Mali 🇲🇷 Mauritania 🇲🇦 Morocco 🇳🇬 Nigeria 🇸🇳 Senegal 🇸🇩 Sudan 🇹🇳 Tunisia🇿🇼 Zimbabwe.
SAMATTA, OKWI NA VICTOR WANYAMA WAMLILIA MAGUFULI