Kaimu Mkurugenzi wa TAKUKURU John Julius Mbungo amezungumza na waandishi wa Habari Juu Ugeni walioupokea kutoka Jumuiya za Afrika kwa ajili ya Tathmini ya Mkataba wa Umoja wa Afrika wa kuzuia na kupambana na Rushwa.