Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#MWANANCHI Serikali yasitisha utaratibu wa ugawaji chakula Muhimbili ili kujiridhisha mpango huo utakavyotekelezwa pic.twitter.com/GfRp6Q7vyM
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#MWANANCHI JPM asisitiza msimamo wake akiwaagiza polisi kuwashughulikia watakaowazuia wanasiasa kutekeleza ahadi zao pic.twitter.com/0DVKSNj4WH
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#MWANANCHI Waziri Mwijage amevipiga marufuku viwanda kutumia plastiki kutengeneza viatu badala yake watumie ngozi pic.twitter.com/pUkZxZenjh
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#NIPASHE Idadi ya wanaopima DNA yaongezeka ktk kipindi cha miezi sita baada ya familia zaidi ya 200 kujitokeza pic.twitter.com/WIl2cqcQzW
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#NIPASHE Wizara ya afya imebaini kuwa ugonjwa ulioua watu saba Dodoma umetokana na uchafuzi wa sumukuvu ktk nafaka pic.twitter.com/5aQJ9U4pRq
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#NIPASHE Serikali imerekebisha sheria ya kudhibiti ugaidi kwa kuweka adhabu ya kifo iwapo tukio limesababisha kifo pic.twitter.com/Edp3IcCWwl
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#JamboLEO Rais Magufuli asema hataki ahukumiwe sasa, badala yake aachwe atekeleze ahadi alizotoa kwa Watanzania pic.twitter.com/LR7wYJGkYF
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#JamboLEO Wanafunzi 24,500 kukosa nafasi kidato cha 5, wasomi wasema hali hiyo inatokana na Serikali kutojipanga pic.twitter.com/6Ci2Nyf9sL
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#MTANZANIA Sampuli za damu na haja kubwa za watu wanaougua ugonjwa wa ajabu Dodoma kupelekwa Marekani kwa uchunguzi pic.twitter.com/HmydXwyyAg
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
#HabariLEO Rais Magufuli awapa rungu polisi, awaambia ni aibu kupokonywa silaha, awaahidi neema na vifaa vya doria pic.twitter.com/B9AzdsDnSr
— millardayo (@millardayo) June 26, 2016
ULIKOSA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA KITUO CHA MAWASILIANO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE