Jeshi la Polisi Dodoma linamshikilia Ally Omary umri wa miaka 26 dereva bodaboda kwa tuhuma za kuwasafirisha wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia walioingia nchini bila vibali maalum ambapo anadaiwa kuwasafirisha kwa njia ya pikipiki kutokea Arusha kwenda Dodoma kwa malipo ya shilingi laki nne. Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake
Masharti makuu mawili kama unataka kujenga Dodoma