Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM Tanzania ikihusu habari 10 za siku zinazohesabiwa kwenye dakika 120, za siasa, muziki, michezo, movies na mengine mengi ambapo hizi ni za Jumatano Jan 7, 2014.
#AMPLIFAYA #Jan72015 #10 Matatu zenye picha mbalimbali zakamatwa Mombasa leo kutelekeleza agizo la marufuku ya picha japo Rais aliruhusu. — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #9 Mwigizaji Wastara asema picha yake iliyosambaa kavalishwa pete ya Uchumba ilikua ni movie, bado yuko single. — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #8 Ujenzi wa Rock City Shopping Mall Mwanza kumalizika Feb 2015, March au April mauzo yanaanza, parking ni magari 600. — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #7 Mshindi Miss Universe anaendelea vizuri baada ya kuumia mguu, namba 2 yuko Miami U.S kwa fainali Jan25 @TzKEUniverse — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #6 kusikiliza muziki dakika15 kabla ya kulala kwa dk 10 na 15 kunasaidia kurahisisha usingizi na kukufanya uamke vizuri — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #5 Mwigulu Nchemba kuhusu kugombea Urais >> ‘Nimepewa jukumu wizara ya fedha, kwa sasa natimiza hayo majukumu kwanza’ — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #4 ‘Rooney hatocheza wakati wote, natengeneza Man United ya vijana’ – Louis van Gaal kupitia kwa >> @shaffihdauda1 — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #3 Shabiki wa Yanga aliehusika na imani za kishirikina jana Znz na kukamatwa na Polisi, alitokea Dar – @shaffihdauda1 — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #2 Mkazi wa Mwanza >> ‘Sijaona mafuta yameshuka hapa Mwanza, EWURA kutangaza ni moja, kufatilia ndicho kinachofata’ — millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
#AMPLIFAYA #Jan72015 #1 ‘Wanasema nimekaa miaka 10 nimesahau nini nautaka Urais? mimi nilikua PM na nimefanya vizuri wote wanakiri’ – Sumaye
— millardayo.com (@millardayo) January 7, 2015
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook