Tayari nimekukusanyia Uchambuzi wa stori zote za magazeti ya Tanzania leo April 27 2016, kila siku huwa nazipandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
#MWANANCHI Ripoti ya CAG imebainisha utata wa ardhi ya mradi mpya wa mji wa Kigamboni unaojengwa na NSSF pic.twitter.com/AX8t28TUIe
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#MWANANCHI Rais Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi TCRA, Dk Ally Simba muda mfupi baada ya kufanya naye kikao pic.twitter.com/a6QtX5UYoa
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#NIPASHE Hadidu rejea zilizotolewa na PAC kwa kamati iliyoundwa kuchunguza Lugumi kutofautiana na za Bunge pic.twitter.com/t6ins8UPmD
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#MWANANCHI Ripoti mpya ya CAG imebainisha kuwa utekelezaji wa ripoti hizo umekuwa kama donda ndugu pic.twitter.com/s9tNjFCdTD
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
Waziri Mwalimu ameitaka MSD kutoa maelezo ya vifaa vya bil 2 ambavyo viko njiani kwenda muhimbili kwa miaka minne pic.twitter.com/9J931G3Zm5
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#MTANZANIA Rais Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,551 huku akiwanyima msamaha wezi wa bodaboda na magari pic.twitter.com/dhGNnnlYae
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#MTANZANIA CAG ashangazwa na taarifa dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dau kuhusishwa na tuhuma za ufisadi pic.twitter.com/zF0YDAUwie
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#JamboLEO Sumaye ataja makosa matatu ya Rais Magufuli, ashangaa kuzuia sherehe za Muungano na kuruhusu Mwenge pic.twitter.com/2zvXvn6IqV
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#JamboLEO Sumatra imesema kuwa iko ktk hatua za mwisho kuanzisha huduma ya usafiri wa daladala Daraja la Kigamboni pic.twitter.com/R6JrdavIqv
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
#HabariLEO Serikali imesema hatua ya kutoonyeshwa 'live' kwa vikao vya bunge hakuvunji sheria kama inavyodaiwa pic.twitter.com/X6nzDZcIg8
— millardayo (@millardayo) April 27, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA HII RIPOTI YA TUHUMA ZA RUSHWA TANZANIA, WAZIRI MKUU ALIVYOIZUNGUMZIA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI