Ni Jumamosi January 17 2016, kila siku kuanzia saa 12 asubuhi nakusogezea tweets za stori kubwa kwenye magazeti ya Tanzania, hapa ninazo 10 zenye nukuu za uzito zaidi kutoka kwenye kurasa za Magazetini leo.
Wanasayansi Marekani wagundua homoni zinazoongeza 40% ya siku za binadamu kuishi #MagazetiJAN17 #MWANANCHI >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA yavifungia vituo sita vya TV na redio 20 kwa kutolipa ada #MagazetiJAN17 #MWANANCHI >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Waziri Charles KITWANGA atangaza vita na bodaboda, Polisi wanafunga camera kufatilia matukio #MagazetiJAN #MWANANCHI>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Bibi kizee ashiriki mashindano ya urembo Uingereza akiwa na mabinti wadogo, lengo atimize ndoto #Magazeti #MWANANCHI>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Katibu Tawala aliyefukuzwa na Rais MAGUFULI Mwanza asema ugomvi wake na baadhi ya watendaji umemgharimu #NIPASHE >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Watoto wa vigogo walioiibia bandari wadaiwa ni mamilionea kwa pesa za tozo bandarini #MagazetiJAN17 #NIPASHE >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Mamlaka ya Bandari TPA yasema haijawahi kupitisha mzigo wa silaha usio halali #MagazetiJAN17 #NIPASHE >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Shirika la Nyumba NHC limelaumiwa kutojenga nyumba za gharama nafuu na kusababisha watu kujenga mabondeni #MagazetiJAN17 #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Jeshi la Polisi linawasaka mahabusu wawili na mfungwa mmoja waliotoroka gerezani Bukoba #MagazetiJAN17 #MAJIRA >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala waibua mazito Mwanza, mmoja amrushia mwenzie chupa ya maji #MagazetiJAN17#MZALENDO >>https://t.co/IdJ5omxdKb
— millard ayo (@millardayo) January 17, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.