Leo July 01 2016 Mamlaka ya mapato Tanzania ‘TRA imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji kuhusu marekebisho ya sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ‘VAT’ ya mwaka 2014. Kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania ‘TRA’, Alphayo Kidata amezungumza na waandishi wa habari na kusema….
>>>’kuna taarifa ambazo si za kweli zinazoenezwa kupitia mitandao ya kijamii kuwa VAT itatozwa kwanye amana ya mwenye fedha kwenye benki. Hii siyo kweli, ukweli ni kuwa kiasi cha VAT kitakachotozwa ni asilimia 18 ya kiasi cha gharama ya huduma iliyotolewa na benki au taasisi yoyote ya fedha’.
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JULY 01 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE