Mamlaka ya Mapato (TRA) imetangaza kukusanya TRILIONI 11.78 katika kipindi cha miezi tisa kuanzia July 2017 ikisema ni sawa na ukuaji wa 8.46% ikilinganishwa na Shilingi Trilioni 10.86 kwa mwaka 2016/2017. Kwa March 2018 pekee TRA imekusanya Trilioni 1.54.
Hayo yameelezwa na Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.
BREAKING; Mabehewa Manne ya Treni yamepata ajali Katavi (VIDEO)