Shirika la Reli Tanzania TRC limesaini mkataba na Kampuni ya CRRC International kutoka nchini China kwaajili ya ununuzi wa Behewa 1430 za mizigo zitakazotumika katika reli ya kisasa SGR.
hafla ya utiaji saini umefanyika katika ukumbi wa mikutano makao makuu TRC, unaweza ukabonyeza play kufahamu yale yaliyojiri.