Thomas Munuo ambaye ni Mtanzania jana June 26, 2019 alizungumza nakusema amekuwa akizuiwa kusambaza umeme anaozalisha, Leo June 27, 2019 ametuonyesha mitambo yake kwa mara ya kwanza ambayo anadai alitumia Milioni 300 katika uwekezaji wake.
Pamoja na hayo Maofisa wa TANESCO wamefika nyumbani kwake kuangalia alichokuwa akikizungumza.