Naibu Spika Dr Tulia Ackson kwa mara nyingine amesogeza tena mashindano ya ngoma za jadi yatakayofanyika Tukuyu, Mbeya kwa Siku tatu mfululizo kuanzia September 21-24, 2017. Mikoa zaidi ya 15 itashiriki na ngoma zaidi ya 75 zitapata nafasi ya kuonekana. Unaweza kuipata yote kwenye hii video hapa chini…
Dr Tulia, Naibu Waziri Wambura walivyozindua michezo Mbeya