Rais Samia Suluhu mnamo 16, feb, 2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu mazungumzo hayo yamefanyika baada ya Rais kukubali maombi ya Lissu kukutana nae na kuzungumza Jijini Brussels nchini Ubelgiji.
Miongoni mwa waliyoyazungumza ni kuhusiana na Lissu kutaka kurejea nchini Tanznaia ila amuomba Rais Samia ahakikishe uwepo wa usalama wake
TUNDU LISSU ALICHOMWAMBIA RAIS SAMIA KUHUSU KESI YA MBOWE ‘IONDOLEWE, INAZIDI KUTUGAWA WATANZANIA’