Uchaguzi wa Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika unatarajiwa kufanyika kesho March 18 2017, wakati ukisubiria uchaguzi huo, umefanyika mkutano mkuu wa chama cha wanasheria wa Tanganyika na Mgombea wa nafasi hiyo Tundu Lissu alipata nafasi ya kueleza sababu za kugombea nafasi hiyo………
“Sababu za mimi kugombea Urais wa TLS ni kutaka kurudisha heshima ya Wanasheria na Mahakama ikiwa kama chombo kikuu cha haki”– Tundu Lissu
"Sababu za mimi kugombea Urais wa TLS ni kutaka kurudisha heshima ya Wanasheria na Mahakama ikiwa kama chombo kikuu cha haki"- Tundu Lissu pic.twitter.com/FPpwzJwvXi
— millardayo (@millardayo) March 17, 2017
VIDEO: Lissu alivyoingia kwenye mkutano wa wanasheria wakati mke wake akichangia hoja, Bonyeza play hapa chini