Mbunge wa viti maalum Esther Matiko akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya Rais (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
‘Mheshimiwa Spika nitajielekeza sana kwenye Elimu ni dhahiri kwamba kupitia Elimu bila ada udaili wa Wanafunzi kwa shule za msingi na Sekondari umeongezeka, lakini kunakosekana mpango mikakati wa kuhakikisha kwamba kunatolewa kwa Elimu bora’– Mbunge Matiko
MBUNGE AZUNGUMZA KWA UCHUNGU ISHU YA KUPANDISHA MISHAHARA WATUMISHI “WAMEVUMILIA SANA”