Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanya Operesheni maalumu ya kuwatafuta wauzaji na watumiaji wa dawa hizo ambayo imefanikiwa kukamata Kemikali Bashirifu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Kampuni ya Techno Net Scientific.
Kwenye hii VIDEO kuna full stoy ambayo unaweza kuitazama kwa kubonyeza PLAY…
Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Ebola nchini…
Lazaro Nyalandu kawajibu wanaohoji uhusiano wake na watoto waliopata ajali, Arusha…