Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Katibu CHADEMA kanda ya ziwa, Mwenyekiti BAVICHA Geita mbaroni kwa uchochezi kupitia mitandao ya kijamii pic.twitter.com/ZSN3vs5JVc
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#MWANANCHI UDART imesema msongamano wa abiria siku za mwisho wa wiki unatokana na ratiba ya mapumziko kwa madereva pic.twitter.com/USWdGiOqju
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#NIPASHE Waziri wa JK, Omar Nundu asema Lowassa aliahidi vyeo CCM ndio maana kukawa na mvutano kumpata mgombea urais pic.twitter.com/eI8E5el4cG
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#NIPASHE Utafiti waonyesha kuwa nyama choma zisizoiva vizuri husababisha maradhi ya figo kushindwa kufanya kazi yake pic.twitter.com/0nDNpVIxBs
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#MWANANCHI Wanawake ambao hawanyonyeshi ndani ya miezi sita baada ya kujifungua hatarini kupata saratani ya matiti pic.twitter.com/EtIqV9raKc
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#NIPASHE Karibu watu 43,427 kati ya wakazi 117,366 Ukonga na Gongo la Mboto DSM wana shinikizo la juu la damu pic.twitter.com/kMbhypro8A
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#JamboLEO Lissu asema hakupata usingizi mahabusu kutokana na maisha ya huko kuwa magumu na si rafiki kiafya pic.twitter.com/kdcI5kB4iA
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#JamboLEO SUMATRA yaagiza mabasi ya DSM-kanda ya ziwa kulala njiani baada ya kusikiliza maombi ya wadau wa usafiri pic.twitter.com/bgQgTmtgOh
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#MTANZANIA Chanjo inayotolewa kwa binadamu kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha TB imepungua nchini pic.twitter.com/qZDo1KoGkY
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#MTANZANIA Mrema afafanua kauli yake ya biashara na JPM, asema alimaanisha kumnadi kwa wananchi wakati wa kampeni pic.twitter.com/NTtbntwEbC
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#TanzaniaDAIMA 90% ya wazazi Tanzania hawajui namna ya kupika uji wa watoto ambao unafaa kwa ajili ya lishe bora pic.twitter.com/Q1zx8ewfjR
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#NIPASHE ZEC, NEC zasubiriwa kuishauri Serikali kuhusu hatua itakayofuata kabla ya kuipigia kura katiba pendekezwa pic.twitter.com/KGzz0SDx1x
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#NIPASHE Mkurugenzi DAWASCO kujieleza kwa nini ametelekeza miundombinu na kusababisha uchafuzi wa mazingira pic.twitter.com/FInGpOVdVN
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#NIPASHE Naibu Katibu mkuu CWT, Ezekiel Oluoch ahofia ukosefu wa fedha utakwamisha Serikali kuhamia Dodoma ghafla pic.twitter.com/zc3d54qENA
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#JamboLEO Serikali yatenga zaidi ya ekari 16,000 za ardhi kwa ajili ya shughuli za maendeleo za vijana pic.twitter.com/9qHDMTkIbC
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
#MWANANCHI UTAFITI: Wanaume 7 kati ya 10 wana michepuko, 6% hushiriki tendo la ngono siku ya kwanza aliyokutana naye pic.twitter.com/nPYgrrIADh
— millardayo (@millardayo) August 7, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV AUGUST 7 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI