Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Mahakama Rufaa yampatia Kafulila fomu za matokeo namba 21B za vituo vyote 382, sasa kwenda kwenye rufaa pic.twitter.com/i2bFfRuR4U
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#MWANANCHI Maalim Seif arejea Z'bar na kuonya kile alichoeleza kuwa ni vitisho na ukandamizaji wa demokrasia pic.twitter.com/45yoLr0EfJ
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#NIPASHE Tundu Lissu atetemesha Dar, mabishano makali ya kisheria yanguruma hadi giza totoro, achomoka kwa dhamana pic.twitter.com/Xz4Tu5nZrK
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#NIPASHE DAWASCO imeachia bomba lake mojawapo la majitaka likitiririsha uchafu ktk maeneo ya Ikulu pic.twitter.com/MAf4FW0l3l
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#JamboLEO TRA yajipanga kufanya uhakiki wa kuhuisha taarifa za walipakodi kuanzia mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba pic.twitter.com/Jy5hbDmwWE
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#NIPASHE Baraza Maalum la madiwani K'ndoni lajifungia kujadili mgawanyo wa mali baada ya halmashauri hiyo kugawanywa pic.twitter.com/6Vyd3eLW13
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#NIPASHE RC Dodoma, Rugimbana akiri kuwa majengo ya kutosheleza wizara na idara zake ni changamoto kubwa pic.twitter.com/T1OuYGF8nv
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#NIPASHE Mradi kiwanda cha sukari Bagomoyo chakwama kutokana na sababu mbalimbali ambazo hazijawekwa bayana pic.twitter.com/6KiQK3KlG6
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#NIPASHE Wanaohamia Dom watakiwa kununua viwanja vilivyopimwa ili kuwa na nyumba zilizojengwa ktk mpangilio maalumu pic.twitter.com/8BiEKOo5Yx
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#MWANANCHI RC Makonda awapa rungu FFU kudhibiti watakaofanya maandamano ya kuunga mkono operesheni ya CHADEMA UKUTA pic.twitter.com/bwOuKgx17w
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#HabariLEO Uhamiaji yakamata wawili ambao ni raia wa kigeni kwa kuishi na kufanya kazi nchini kinyume cha sheria pic.twitter.com/4u1wDD3c2E
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
#HabariLEO Wahudumu vituo vya UDART wapanga kufanya mgomo usio kikomo kushinikiza kulipwa malimbikizo ya mishahara pic.twitter.com/RBeMIt3eYk
— millardayo (@millardayo) August 6, 2016
ULIKOSA HII YA TUNDU LISSU ALIVYOSINDIKIZWA NA POLISI MAHAKAMANI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI