Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
Rais Magufuli ameridhia kuanzishwa kwa Mkoa mpya wa Songwe na Wilaya za Kibiti, Ubungo,kigamboni, Malinyi na Tanganyika #HabariLEO #Feb04
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Jaji Mkuu Kenya, Dk. Willy Mutunga amesema hali ya kisiasa Z'bar inahitaji busara ya mazungumzo ili kupata mwafaka #HabariLEO #Feb04
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Serikali yasema kila mwaka watu 44,000 hubainika kuwa na ugonjwa wa saratani nchini #HabariLEO #Feb04 >>https://t.co/16qAELFGu4
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Matukio ya Ujambazi unaohusisha uporaji wa fedha umesababisha vifo 91, majeruhi 186 ktk matukio 3,306 kuanzia mwaka 2013-2015 #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Chama cha Walimu Tz kimeanza 'kuibeep' Serikali ya Rais Magufuli baada ya kuitaka iwe imelipa madai yao kabla ya Mei mosi 2016 #GazetiMAJIRA
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Mkoa wa Tabora umeshika nafasi ya mwisho katika matokeo ya elimu ya msingi mwaka 2015/2016 #GazetiMAJIRA #Feb04 >>https://t.co/16qAELFGu4
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Watanzania wameshauriwa kupunguza matumizi ya sukari kupita kiasi, ikiwa ni sababu mojawapo inayochangia ugonjwa wa saratani #UHURU #Feb04
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Waziri wa fedha na mipango, Dk. Philip Mpango amesema hatakubali kuruhusu misamaha ya kodi isiyokuwa na maslahi kwa taifa #MWANANCHI #Feb04
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Chama cha Walimu Tz (CWT) kimesema Serikali ilipaswa kujipanga kwanza kabla ya kutangaza sera ya elimu bure #MTANZANIA #Feb04
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
M/kiti Wilayani Kiteto, Lairumbe MOLLEL amesema halmashauri yake haiwezi kubana matumizi ktk semina kama Rais MAGUFULI anavyotaka #MTANZANIA
— millardayo (@millardayo) February 4, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.