Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 18, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Matokeo kidato cha pili yaibua mapya, Wamiliki wa shule na vyuo walijia juu Baraza la NECTA kuhusu mfumo wa matokeo kwa GPA #NIPASHE #JAN18
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Mbunge Saed KUBENEA apania kufufua upya sakata la Tegeta ESCROW lijadiliwe upya Bungeni #NIPASHE #JAN18>> https://t.co/oQVGt37J8V
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Waziri Charles KITWANGA amesema oparesheni kamata wageni wanaoishi na kufanya kazi nchini haiwalengi Wakenya kama inavyodhaniwa #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Gazeti la Mawio limekuwa la kwanza kwa utawala wa awamu ya tano kufungiwa baada ya Waziri NAPE kutangaza kulifungia milele #MWANANCHI #JAN18
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
M’kiti Jumuiya ya Wazazi CCM, mzee BULEMBO ajipanga kupiga kambi Z’bar kujiandaa na marudio ya uchaguzi #NIPASHE >>https://t.co/oQVGt37J8V
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Shule ya Tusiime yavunja rekodi matokeo kidato cha pili, 99% wanafunzi wafaulu daraja la juu #MagazetiJAN18 #MAJIRA>>https://t.co/oQVGt37J8V
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Miss Tz 1996 amesababisha BoT kuitoza faini ya bilioni 3 benki ya Stanbic baada ya kuisababishia Serikali hasara ya trilion3 #MWANANCHI JAN
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Hali ya Taharuki imewakumba wakazi wa Segerea baada ya gari aina ya Mark 11 Grand kuegeshwa likiwa na damu na kofia ya askari #MWANANCHI JAN
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Polisi wanamshikilia mfanyabiashara mmoja huko Igunga kwa tuhuma za kumpiga risasi ya kichwa mwalimu wa Shule ya Msingi #MWANANCHI #JAN18
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
UTAFITI umebaini kuwa kujihusisha na tendo la ndoa kunapunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa mshtuko wa moyo kwa 2% #UHURU #JAN18
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Baadhi ya vigogo ndani ya Jeshi la Polisi Mwanza wanadaiwa kuhusika ndani ya mtandao wa kupanga mikakati ya ujambazi, dawa za kulevya #UHURU
— millard ayo (@millardayo) January 18, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.