Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#MWANANCHI Ukweli kuhusu kampuni ya Lugumi inayodaiwa kulitapeli Jeshi la Polisi huenda ukajulikana baada ya siku 30 pic.twitter.com/TWZzhr7EuR
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
#MWANANCHI Muhimbili ni kama tanuru la moto kwa wanaojifungua kutokana na huduma zisizo na ubora kutoka kwa wahudumu pic.twitter.com/qQacliJrzZ
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
Maiti Arusha imefukuliwa na kuzikwa upya sehemu nyingine ktk tukio jingine la kuchukua kimakosa maiti hospitalini pic.twitter.com/P4JiToF2MN
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa UN ambao wamesaini makubaliano ya Paris ya mabadiliko ya tabianchi pic.twitter.com/PEnY3wG48H
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
kampuni yaendelea kukusanya ushuru Ubungo licha ya Rais Magufuli kuagiza kusitishwa kwa mikataba yenye utata pic.twitter.com/Od8VmHLSVx
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
#NIPASHE Imebainika Mfanyakazi wa TRA aliyetuhumiwa kujilipa mishahara 17 alishafukuzwa kazi siku nyingi zilizopitaà pic.twitter.com/EqgpNGuxcy
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
#NIPASHE CHADEMA imemtaka Rais Magufuli kuacha 'kutumbua majipu' bila kufuata taratibu na kanuni za nchi pic.twitter.com/xZnj1B6NFP
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
#HabariLEO Bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda sasa ni rasmi kwamba litapita ktk ardhi ya TZ kwenda Bandari ya Tanga pic.twitter.com/DggPeSaX9S
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
#HabariLEO Mkoani K'njaro, benki ya CRDB imejikuta ikitoa mkopo kwa waliokuwa wafanyakazi hewa pic.twitter.com/ILwTiFzn09
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
#JamboLEO Serikali ya awamu ya tano imepanga kukopa zaidi ya trilioni 1.7 ili kuiwezesha bajeti pic.twitter.com/G0u9cjtnCU
— millardayo (@millardayo) April 24, 2016
ULIIKOSA YA SABABU ZA UKAWA KUSUSIA BUNGE? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE