Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Taasisi za Serikali na watumishi kuhamia Dodoma kwa mafungu tofauti na uamuzi wa awali uliotolewa pic.twitter.com/PZl3rJQmlZ
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#MWANANCHI Wanawake 300 Kenya wasaka waume zao TZ, wadai wanapopata fedha huvuka mpaka na kuingia Namanga, Longido pic.twitter.com/lPwC0Uj2qD
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#MWANANCHI JPM apiga marufuku kuwaondoa machinga mijini, aagiza mamlaka husika kuboresha mazingira ya biashara pic.twitter.com/qnSlI6436G
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#MWANANCHI Mahakama kuu kanda ya DSM imewarejeshea shtaka la utakatishaji fedha Kitilya na wenzake. pic.twitter.com/tM2ybP2Kt5
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#MWANANCHI Ripoti mpya ya jarida la kimataifa la sayansi na tiba, Lancet inaeleza kuwa 95% ya watu duniani wanaumwa pic.twitter.com/WrSwdBqQr3
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#MWANANCHI Wauza umeme wa TANESCO Kenya kwa wateja zaidi ya 70 kwa malipo 100,000 kwa mwezi eneo la mpakani Sirari pic.twitter.com/7KaB3Div4i
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#NIPASHE Waziri Lukuvi atoa miezi mitatu wanaomiliki rundo la hati za viwanja kuviendeleza vinginevyo kunyang'anywa pic.twitter.com/60cB3gxbA5
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#JamboLEO JPM aagiza viongozi Mwanza kuhakikisha mali za chama kikuu cha ushirika cha Nyanza zilizouzwa zinarudishwa pic.twitter.com/ZGX9mreKyo
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#JamboLEO Serikali imetaka Serikali Uturuki kuipa orodha kampuni zilizowekeza nchini zinazotuhumiwa kusaidia ugaidi pic.twitter.com/c25eYgpgi1
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
#HabariLEO JPM ametangaza kuwa maeneo ya Usagara, Buhongwa jijini Mwanza ni kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda nchini pic.twitter.com/LfAq8UaB6f
— millardayo (@millardayo) August 12, 2016
ULIKOSA HUU UFAFANUZI KUHUSU SHULE ZA FEZA ZITAFUNGIWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI