Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MAJIRA CHADEMA wamesema hawajawahi kukataa wito wa mazungumzo ili kusitisha UKUTA na kama wataitwa wapo tayari pic.twitter.com/CSU7qzIwce
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MAJIRA UKAWA wamesema wapo tayari kurudi bungeni september mwaka huu baada ya kupokea ombi la viongozi wa dini pic.twitter.com/6BpNASNfk4
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MAJIRA TRL inatarajia kuanzisha treni Dar-Dom baada ya kuanza ujenzi wa reli kiwango cha kimataifa, itatumia saa 3 pic.twitter.com/LZUYu1Jsko
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MWANANCHI Vyama vya upinzani vyenye wabunge vimemtaka Rais awasilishe muswada wa kufuta vyama vyote vya siasa pic.twitter.com/gyEZdulkEW
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MWANANCHI RC Makonda awaagiza polisi kuwapiga wahalifu wowote wakiwamo majambazi pindi wanapowakamata pic.twitter.com/k0MefOJ5Ra
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MWANANCHI Serikali yasema haitasita kuyafuta mashirika yanayojihusisha na masuala ya kutetea mapenzi ya jinsia moja pic.twitter.com/wMP6ZkoV70
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MWANANCHI Polisi walazimika kufyatua risasi hewani wakisindikiza washtakiwa kesi ya ugaidi ili kuwatawanya ndugu pic.twitter.com/hZQ1p9o9Jl
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#MWANANCHI Waziri Mhagama amesema yeye na manaibu waziri wake wamehamia rasmi Dodoma pic.twitter.com/FdsZfibpS3
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#NIPASHE CHADEMA wamesema hawahusiki na mauaji ya askari wanne wa jeshi la polisi yaliyotokea Mbande, Temeke Dar pic.twitter.com/x4yK6lTbwA
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#NIPASHE Wizara ya viwanda iko kwenye mazungumzo na China ili kupata njia bora ya kuzuia bidhaa bandia kutoka China pic.twitter.com/LRWanlSfVA
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#NIPASHE Kituo cha haki za binadamu 'LHRC' kimewataka viongozi wakuu wa kisiasa kuwa makini na matamko wanayoyatoa pic.twitter.com/jK2rL14uND
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli anatarajiwa kutoa tuzo kwa halmashauri zitakazoonekana kufanya vizuri pic.twitter.com/u4ghs2BKkw
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
JE UKAWA KURUDI BUNGENI BUNGE LIJALO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI