Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Wakati viongozi wa CHADEMA wakitangaza safu ya kutoa elimu ya UKUTA, viongozi wa dini wataka suluhu pic.twitter.com/OpfMNTAYca
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MWANANCHI Wajumbe zaidi ya 700 wa mkutano mkuu wa dharura wa CUF kumchagua mwenyekiti mpya wa chama hicho leo pic.twitter.com/r9StxxoFqf
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MWANANCHI Ntibenda akabidhi ofisi huku akitoa neno la kuwakaribisha Kigoma baadhi ya waliokuwapo kwenye hafla pic.twitter.com/MjTP4BHXEx
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MWANANCHI PAC yahoji wingi wa vikao vya bodi TIC kujadili mshahara wa aliyekuwa wa mkurungezi, Julieth Kairuki pic.twitter.com/GtTJPmQaU1
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MWANANCHI Waziri Kairuki ametoa siku sita kwa taasisi za umma 145 kuwasilisha orodha ya watumishi hewa. pic.twitter.com/qCGED79JkT
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MWANANCHI TABOA yasitisha uamuzi wa kuacha kutoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani pic.twitter.com/2exNHSjJ34
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#NIPASHE Baada ya agizo la JPM kuhakikisha jeshi la polisi linabaki na watumishi ambao ni askari maafisa 600 wafyeka pic.twitter.com/vkFZTUlSev
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#NIPASHE Bilionea aliyejilipua Moshi yadaiwa alifanya kutokana na msongo wa mawazo utokanao na matatizo ya kifedha pic.twitter.com/0hW4LY1fjH
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#NIPASHE TAKUKURU kuchunguza kilichotokea Machinga Complex sakata linalohusisha tuhuma za ufisadi wa mabilioni pic.twitter.com/LoxXgF6sYM
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#NIPASHE Kwa mwezi huu pekee Serikali imeokoa zaidi ya bil 16.14 ambazo zingelipwa kwa watumishi hewa 16,127 pic.twitter.com/b8qjg1CrQ1
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#NIPASHE TAZARA kuvunja zaidi ya nyumba 1000 zilizojengwa ktk hifadhi ya reli na miliki zingine za ardhi ya TAZARA pic.twitter.com/clC0psBhn3
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MTANZANIA Matumizi ya dawa zenye sumu kali ikiwemo Quinine kwa wajawazito huchangia mtoto kuzaliwa kiziwi pic.twitter.com/sj5EMGVKBv
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MTANZANIA Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, ameonya wananchi watakaoubeza mwenge wa uhuru pic.twitter.com/tZh0XrTp2d
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MTANZANIA Polisi Shy imelazimika kufukua kaburi la mtoto albino kutokana na kudaiwa kukatwa viungo kabla ya kuzikwa pic.twitter.com/6tG0GrxipI
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
#MAJIRA Serikali imeazimia kuachana na biashara ya kuingiza nguo za mitumba kutoka nje ifikapo mwaka 2018 pic.twitter.com/JOGWqMLEsq
— millardayo (@millardayo) August 21, 2016
ULIKOSA HII DHAMIRA YA SERIKALI KUHUSU NDOA ZA UTOTONI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI