Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja habari zilizoandikwa ni hii habari kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa cha habari ‘Walimu kukatwa mishahara madawati yakiharibika Singida’
#MWANANCHI Walimu Manyoni waagizwa kutunza samani yakiwemo madawati vinginevyo watakatwa mishahara yao yakiharibika pic.twitter.com/VhWncF1QeB
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
Mkuu wa wilaya ya manyoni mkoani Singida, Geofrey Mwambe amewaagiza walimu wa shule za msingi na sekondari wahakikishe thamani yakiwemo madawati yanatunzwa vizuri, vinginevyo watakatwa sehemu ya mishahara yao kama yataharibika au kuvunjwa.
Mkuu huyo wa Wilaya alitoa agizo hilo juzi wakati akizungumza Kwenye hafla ya kukabidhiwa madawati 100 kwa shule za msingi za Bangayegwa na Lulanga za Halmashauri ya wilaya ya Itigi.
Madawati hayo yametolewa msaada na benki ya NMB tawi la Itigi, alisema madawati na samani zingine zote zinapaswa na kulindwa na kutunzwa vizuri, ili zidumu kwa muda mrefu……>>>Kumkata mshahara mwalimu ambaye anafanya kazi katika mazingira magumu haipendezi, lakini tunalazimika kufanya hivyo kama njia mojawapo ya kudhibiti uharibifu’
Alisema wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya ya Itigi na Manyoni watapaswa kusimamia agizo hilo, Mwambe alisema…….>>> ‘Walimu wa shule za msingi na sekondari ongezeni bidii katika kutekeleza majukumu yenu, Kipaumbele changu nataka ufaulu ufikie asilimia 98. Elimu bora ndiyo mkombozi wa wilaya hii’
#NIPASHE Mahakama imetupilia mbali ombi la kufutiwa shtaka la utakatishaji fedha anayedaiwa kujipatia mil 7 kwa dk pic.twitter.com/P33494Urc6
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#NIPASHE IGP Mangu, Kinana na AG, Masaju hawakutokea ktk mkutano wa upatanishi kati ya vyombo vya dola na CHADEMA pic.twitter.com/ERe9ocERgB
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#NIPASHE Watu 572 wamepatikana na hatia ya rushwa ktk mahakama mbalimbali nchini kati ya mwaka 2010 na 2015 pic.twitter.com/991BnYfeFG

#NIPASHE Ubalozi wa China nchini umesema nchi hiyo haijawahi kutengeneza bidhaa zisizo na ubora pic.twitter.com/hPtQ21YMHB
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Rais Magufuli akutana na Kitwanga ikiwa ni siku 80 baada ya kumvua cheo cha Waziri wa mambo ya ndani pic.twitter.com/NabzOE7f8s
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Bei ya sukari nchini yashuka kwa wastani wa 900 hadi 1500 kutokana na viwanda kuanza kuzalisha pic.twitter.com/xd5PnsjD8f
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Utafiti wa Twaweza umebaini kuwa ziara za ghafla zimerejesha nidhamu ktk utoaji wa huduma za afya pic.twitter.com/CnCLY3ch0f
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Ahukumiwa na mahakama Ilala kifungo cha miaka mitatu kwa kumuibia mkewe dhahabu yenye thamani ya mil 5 pic.twitter.com/KryIRQwrz9
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MTANZANIA Mfungwa wa kifungo cha nje Songwe akamatwa kwa udaktari feki, mwanzoni alihukumiwa kwa kosa hilohilo pic.twitter.com/t5It2ROwB1
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MAJIRA Polisi, CHADEMA wapewa mashariti ya kuondoa maneno yenye viashiria hatari pic.twitter.com/HoKMD8u2E0
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli amesema kasi aliyoanza nayo ktk 'kutumbua majipu' ilikuwa ndogo sasa amelazimika kuiongeza pic.twitter.com/o7hlIeabbz
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#NIPASHE Serikali ya Zanzibar imesema wanafunzi waliofeli kidato cha sita walikuwa watoro pic.twitter.com/C1JTZN5FND
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Simba imejinasibu kuwa imefanya usajili wa mil 480 unaolenga kumaliza ukame wa miaka minne bila ubingwa pic.twitter.com/f9LZE8lyQR
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Walimu Manyoni waagizwa kutunza samani yakiwemo madawati vinginevyo watakatwa mishahara yao yakiharibika pic.twitter.com/VhWncF1QeB
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Serikali yaanza kutoa vibali kuuza mchele nje baada ya kuridhishwa na uwepo wa chakula cha kutosha nchini pic.twitter.com/9Nuc1CxXga
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
#MWANANCHI Vyakula vya asili zaidi ya 26 hatarini kupotea kutokana na watanzania kutokuwa na tabia ya kula pic.twitter.com/jrSw3HGBfW
— millardayo (@millardayo) August 11, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI AUGUST 11 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI