Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#NIPASHE Wanaolipwa mil 40 kwa mwezi kwenye mashirika na taasisi za umma mwisho Juni 30 pic.twitter.com/9XVzKfyDoE
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#NIPASHE Meya Manispaa Ilala, Charles Kuyeko ataka wauguzi Amana waliosababisha kifo cha dereva bodaboda waadhibiwe pic.twitter.com/40dFtc9gkt
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#NIPASHE TRA imewafunda wanafunzi chuo cha kodi kuwa wanaotamani kufanya kazi ktk taasisi hiyo wasitangulize utajiri pic.twitter.com/G3ftrkW1O6
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#MWANANCHI Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye apinga uamuzi wa kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge pic.twitter.com/xePVN0NEZ0
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#MWANANCHI Wakati wafanyabiashara wakiendelea kupuuza bei elekezi ya sukari, bidhaa hiyo imeanza kuadimika nchini pic.twitter.com/WAwfpRwH3M
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#MWANANCHI Wazee Chadema wataka michango ya pensheni iliyokatwa kwa wafanyakazi hewa kwa miaka 5 ilipwe kwa wazee pic.twitter.com/RiLpU7SYsA
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#MWANANCHI Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola ampongeza Rais Magufuli kwa kumtumbua Sefue ingawa hakumtaja kwa jina pic.twitter.com/UuWzCePHik
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#JamboLEO Serikali imeahidi kutoa ajira mpya 71,496 ktk Mwaka wa Fedha 2016/2017 pic.twitter.com/5dPzTKVYgP
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#HabariLEO NEC ya CCM imepitisha majina ya wabunge 21 walioomba nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa pic.twitter.com/pk1TNChNjd
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
#MWANANCHI Mradi wa ujenzi wa ukanda maalumu wa uchumi Morogoro utagharimu bil 140 kwa awamu ya kwanza pekee pic.twitter.com/ujgY57vDxQ
— millardayo (@millardayo) May 4, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIUKOSA USHAURI WA KUFANYA KATIKA KIPINDI CHA MVUA ILI KUEPUKA MAGONJWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI