Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Viongozi CHADEMA akiwamo Lowassa wakamatwa wakiwa ktk kikao cha ndani, wahojiwa na kuachiwa kwa dhamana pic.twitter.com/DrSh6BrjxQ
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MWANANCHI Madiwani watatu CHADEMA na mfuasi mmoja wafikishwa ktk mahakama ya wilaya ya Rombo kwa kufanya uchochezi pic.twitter.com/akUseFHXj0
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MWANANCHI Baraza kuu la uongozi CUF limemteua Julius Mtatiro kuwa mwenyekiti wa kamati ya muda ya uongozi pic.twitter.com/ROVHkCZ4Th
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#NIPASHE Serikali inakusudia kusambaza gesi ktk jiji la Dar es salaam ili kupunguza matumizi makubwa ya mkaa pic.twitter.com/xliHfLV3ue
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#NIPASHE Mwanasheria mkuu wa serikali, George Masaju amesema katazo la polisi kuhusu UKUTA lipo kwa mujibu wa sheria pic.twitter.com/zcGrNvBiKI
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MTANZANIA Prof. Lipumba atua kwa msajili wa vyama vya siasa nchini na kudai yeye bado ni mwenyekiti halali wa CUF pic.twitter.com/PO6ZIqjINK
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MTANZANIA Mashtaka mapya kwa Lissu, wahariri mawio yagonga mwamba baada ya utetezi kudai yanarudishwa yaliyofutwa pic.twitter.com/0I2xVQ9sFJ
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#HabariLEO Serikali imeanza kuwashughulikia walionufaika na fedha za watumishi hewa, wapelekwa TAKUKURU, polisi pic.twitter.com/9Cj368dtBm
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#JamboLEO Manispaa ya K'ndoni imesema watumishi 4,000 K'ndoni watapelekwa kufanya kazi ktk wilaya mpya ya Ubungo pic.twitter.com/wAAYxgOhwb
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MWANANCHI DC Karagwe, Mhekula awasimamisha kazi walimu watatu, wadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi pic.twitter.com/hnzhi0pvMU
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MWANANCHI CBT imetangaza mwongozo wa bei dira msimu mpya wa korosho kuwa ni 1300 daraja la kwanza na la pili 1040 pic.twitter.com/vJueXTBK0d
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#NIPASHE Kuanzia sasa serikali imesema haitaruhusu majeshi yake kuagiza jozi za viatu au sare nje ya nchi pic.twitter.com/9To7UK9amY
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
#MTANZANIA Tanzania imekuwa ya kwanza Afrika Mashariki kwa uwekezaji kutoka nje, ilifikisha dola bil 2.3 mwaka jana pic.twitter.com/uOjhueSVym
— millardayo (@millardayo) August 30, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI AUGUST 30 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIEO HII HAPA CHINI