Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI UKAWA wamaliza mgomo wa siku 32, warejea bungeni, wasema mapambano yatahamia kwenye chombo hicho pic.twitter.com/uSqVdkzE1p
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MWANANCHI Mmiliki Landmark Hotel asema hali mbaya ya biashara ndiyo chanzo cha kuibadili kuwa hosteli pic.twitter.com/Od32Dj01jT
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MWANANCHI Edward Lowassa na Maalim Seif wakutana kwa mazungumzo yaliyohusu hali ya kisiasa visiwani Zanzibar pic.twitter.com/h5zfWcc4U0
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MWANANCHI Polisi yafunguka siku 10 baada ya askari kuuawa, yasema imeua majambazi watatu na kukamata bunduki 23 pic.twitter.com/BBjiC4ATW1
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#NIPASHE Bashe apinga Rais kuteua wakurugenzi wa mashirika wakati jukumu la kusimamia ni la msajili wa hazina pic.twitter.com/P1ER52Ocr4
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#NIPASHE Watoto 7 Kigoma wateketea moto kwenye nyumba waliyokuwa wamelala huku wazazi wakiwa kwenye ngoma za kimila pic.twitter.com/IgdXKTmyq9
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#NIPASHE Serikali kuwasilisha bungeni muswada wa kutunga sheria ya msaada wa kisheria kwa wananchi ktk bunge lijalo pic.twitter.com/sOxcEjTMCE
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MTANZANIA Mkurugenzi wa zamani NIDA, wenzake watano kusota rumande baada ya mahakama kuyatupa maombi ya dhamana pic.twitter.com/eOmh5gGomy
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MTANZANIA Hoteli ya Snow Crest Arusha kuuzwa baada ya kushindwa kulipa michango ya wafanyakazi ya mil 442 NSSF pic.twitter.com/rqSt5H4Z2x
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MTANZANIA Watoto zaidi ya 200,000 kila mwaka huzaliwa nchini na ugonjwa wa moyo, lakini hawafikishwi hospitalini pic.twitter.com/skTPEz4Yew
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MTANZANIA Polisi waruhusu ACT kufanya mkutano wa kamati kuu, licha ya kuwapo zuio la kufanyika mikutano ya kisiasa pic.twitter.com/DLTHih6Jm4
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#JamboLEO Bunge linaanza mkutano wake wa nne leo Dodoma likitarajiwa kujadili miswada sita na kuipitisha pic.twitter.com/vDdYGgqDyS
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#JamboLEO Msalaba Mwekundu kuandamana kupinga ubadhirifu, ukwepaji kodi unaofanywa na viongozi wa juu wa chama hicho pic.twitter.com/sqNX562Hmm
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#HabariLEO Watoa taarifa feki za uhalifu kutozwa faini mil tatu au kifungo cha mwaka mmoja jela au vyote kwa pamoja pic.twitter.com/UuResOZFKb
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MAJIRA IPTL, PAP wafufua kesi ya Kafulila wakimdai awalipe bil 310 kwa kuchafua jina la makampuni hayo pic.twitter.com/BmZJC8Zv5m
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
#MWANANCHI Sheria ya kuwalinda watoa taarifa za uhalifu inayowapatia ulinzi wa kisheria na motisha watu hao yaanza pic.twitter.com/uclMTWelUc
— millardayo (@millardayo) September 6, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV SEPTEMBER 6 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI