Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni June 21 2016, moja ya maswali ni pamoja na hili la mbunge wa viti maalum Iringa kupitia tiketi ya CCM Rose Tweve aliyetaka kupatiwa ufafanuzi wa serikali kuhusu namna ya kuboresha huduma za kibank kwa wanawake ikiwa ni pamoja na kusimamia suala la riba kubwa inazotolewa.
Naibu Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akasimama kujibu kwa niaba ya serikali…
ULIIKOSA HII? EXCLUSIVE YA WAZIRI NAPE KUHUSU WABUNGE WA UPINZANI WANAOSUSIA BUNGE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE