Moja kati ya stori iliyochukua headlines katika soka ni kuhusiana na nchezo wa fainali ya Kombe la FA utakaozikutanisha Simba na Mbao FC ya Mwanza May 28 2017, awali kuna stori zilienea kuwa mchezo huo utachezwa Dodoma lakini baadae Rais wa TFF Jamal Malinzi alisema watachezesha droo kumpata mwenyeji.
Leo May 2 2017 ametangaza kuwa wamefikia makubaliano ya game hiyo kuchezwa Dodoma katika uwanja wa Jamhuri“Mchezo wa fainali ya FA ulikuwa ichezeshwe droo ili kumpata mwenyeji kwakuwa siku ya kuchezesha droo ya nusu fainali jambo hili lilisahaulika, droo haitakuwepo kutokana na uwanja wa Taifa utakuwa katika matengenezo”
Rais wa TFF Jamal Malinzi akieleza sababu za kuupeleka mchezo wa fainali ya FA Cup Simba vs Mbao katika uwanja wa Jamhuri Dodoma pic.twitter.com/dNlC3acJJR
— millard ayo (@millardayo) May 2, 2017
GOAL & HIGHLIGHTS: Simba vs AzamFC April 29 2017, Full Time 1-0