Moja kati ya stori kubwa iliyokuwa ikijadiliwa na wapenda soka bongo March 30 ni kuhusiana na habari za nyasi bandia za timu ya Simba kuandikwa kuwa zitapigwa mnada na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kutokana na kushindwa kulilipiwa kodi bandarini.
Baadae wakaoiomba TRA iwanongezee muda wa kulipia kabla ya kufanya maamuzi ya kuzipiga mnada na TRA ikatoa siku 14, leo April 6 2017 tumefanikiwa kumpata katika exclusive interview afisa habari wa Simba Haji Manara aeleze kuhusiana na taarifa zilizotolewa mtandao kuwa leo Simba wamelipa kodi ya nyasi hizo.
ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0
ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0