Wafanyakazi wa Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Songwe pamoja na abiria waliokuwa wakisubiri ndege katika uwanja huo wamekumbwa na taharuki baada ya kutangaziwa kuwapo kwa mabomu yaliotegwa ndani ya eneo hilo.