March 9, 2018 stori nayokusogezea ni kumhusu Jaji mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahimu Juma ameonesha kutoridhishwa kwake na mfumo wa utoaji taarifa mbalimbali za kimahakama ikiwa ni pamoja na lugha, urasimu katika utoaji wa nakala za hukumu.
Jaji Mkuu amezungumza hayo katika ufunguzi wa kikao kazi cha watendaji na wataalamu wa Mahakama, kwa lengo la kutathmini utekelezaji wa mpango mkakati wa miaka mitano na utekelezaji wa mradi wa maboresho wa utoaji wa huduma za mahakama nchini.
Wafanyakazi wa Dangote wamegoma, RC Mtwara katoa maagizo na maamuzi