Wasanii wa Bongofleva Madee na Dogo Janja leo wametangazwa kuwa mabalozi wapya wa Star Times kwa ajili ya Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga na Ligi Kuu Ufaransa Ligue 1 kwa msimu wa 2018/2019, lengo likiwa ni kuongeza mashabiki na hamasa kupenda Ligi hizo ambazo zina mastaa kama Neymar na Lewandowski.
Kitu Mzee Akilimali kaongea kuhusu stori za Yussuf Manji kurudi Yanga SC