Inafahamika kuwa kila Jumatatu ya kwanza ya mwezi Mei nchini Marekani hufanyika onesho kubwa la mavazi na mitindo linalofahamika kama Met Gala ambapo huwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki, filamu na tasnia nyingine kuonesha style zao.
Jana May 6,2019 limefanyika rasmi kwa mwaka huu ambapo mastaa mbalimbali walionyesha uwezo wao kwenye mavazi akiwemo Cardi B, Nicki Minaj, Kylie Jenner na mpenzi wake Travis Scott, Ciara, na wengine kibao.
Cardi B akiwa miongoni mwa mastaa waliozibeba headlines usiku huo ambapo vazi lake limetawala na kuzungumzwa kwenye mitandao mbalimbali kutokana na ubunifu uliotumika kukamilisha gauni hilo ambalo
VIDEO: BEN POL ALIVYOIMBA WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU DK. MENGI