Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 tayari imesomwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipanga Mwigulu Nchemba ikiwa na viapumbele mbalimbali, AyoTV tumefanya mahojiano na CPA Stambuli Myovela ambaye yeye ni Mkurugenzi Mtenadji wa OASISI Financial Services Limited akichambua Bajeti iliyosomwa Bungeni.